Wacheni kuwafurusha wakenya majira haya! Wanaharakati wateta

unnamed (9)
unnamed (9)
Kikundi cha wanaharakati cha Land sector kutoka kaunti ya Mombasa kimeirai serikali kukomesha hatua ya kuwahamisha wakenya kutoka makwao wakati huu ambapo kila mtu anahofia kuambukizwa corona.

Kufikia sasa, zaidi ya watu 10,000 kutoka kaunti ya Mombasa na Nairobi wamefurushwa kutoka makwao na serikali hatua ambayo kikundi hicho kinasema ni kinyume na haki za kibinadamu.

Wameaongeza kuwa watatumia kila mbinu kuhakikisha kuwa hakuna mkenya mwingine anayetolewa kwake.

Furaha Charo mmoja wa shirika la Haki Yetu amesema serikjali imekosa kuwalinda wananchi .

“In fact, in almost all cases, the government is the perpetrator,” Charo amesema

Zedekiah Andika ameitaka serikali kusitisha hatua ya kuwaondoa wakenya kwenye mashamba yao akisema inatekeleza wajibu huo kisha inafanya kinyume na matarajio ya wengi.

“Land is going nowhere. It is there. You can solve all land issues after we get through this current pandemic,” Andika said.  “You are dehumanising human beings when you evict them from their homes yet there is nowhere else to go.Amesema Andika

Mkuu wa kikundi cha Muslim for Human Rights Francis Auma amewataka wananchi kupinga hatua yoyote ya kutimuliwa katika mashamba yao akisema maafisa wa polisi wanatumiwa vibaya na watu fulani.

“They are now taking advantage of the courts not working fully to grab land,amesema Auma