Wanasiasa wa pwani wanaopanga kumuacha raila mnachimba kaburi yenu ya siasa-Babu Owino

rPVk9kpTURBXy9kMzBkMDgxMDUyYzNmN2EyZjA0ODRmOThkZjdhZDVhYy5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
rPVk9kpTURBXy9kMzBkMDgxMDUyYzNmN2EyZjA0ODRmOThkZjdhZDVhYy5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB
Baadhi ya wakenya wamezuia gumzo katika mitandao ya kijamii ya twitter baada ya mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino kudai kuna viongozi au wanasiasa wa mkoa wa pwani wamepanga kumuacha kinara wa chama cha ODM Raila Odinga.

Babu alisema kuwa wanaopanga kumuacha kuwa wanachimba karuri lao la kisiasa endapo watatka kwenye chama hicho.

"Viongozi wa mkoa wa pwani ambao wanatishia kumuacha kinara Raila Odinga wanachimba kaburi lao la siasa, ambaye huwa ana lala na baba yake ni mama yako."Aliandika Babu.

https://twitter.com/HEBabuOwino/status/1289090660214157313

Useminwake unajiri baada ya baadhi ya viongozi wa pwani kudai kuwa kinara na aliyekuwa waziri mkuu Raila kusema kuwa amewaacha baada ya kunga mkono ugavi wa pesa katika kaunti.

Ni mjadala uliofutiliwa mbali na wengi wa maseneta huku wakihairisha kikao chao kuhusu swala hilo.

Ugavi huo unaonekana baadhi ya kaunti zitapata pesa nyingi huku nyingi zikikosa kupata pesa hizo au kama ilivyo kuwa awali.

Hizi hapa baadhi ya hisia za wanamitandao baada ya Babu kuandiika ujumbe huyo;

 Ali Maalim:Raila betrayed and executed them in broad daylight.. as a Northerner who voted for RAILA ODINGA through out my political circle, come 2022 things will not be as usual
Quraish Abdi Habashow:leave baba, what will happen, Raila should not betray his loyal supporters
Mugo wa Mwaura:That's not worse than shooting an innocent DJ.
Muhammad Abubakar Ali:1. What has

done for the coast region? 2. The choice of your words are just insults and abuse. This kind of language is not expected from a lawmaker. 3. ODM has sided with the unjust, exploitative and unfair group that have openly ......