akotheee

Wanawake mashuhuri wanaolea watato wao pekee yao

1.Betty Kyalo

kyallo

‘Sijawahi hisi hivi kwa maisha yangu’ Vera Sidika asema

Betty Kyalo ambaye ni malkia wa runinga, amekuwa akimlea bintiye Ivanna, peke yake baada ya ndoa yake na mwandishi wa habari wa upelelezi Dennis Okari kuvunjika.

Betty alifunua kuwa Okari hakuwa akitimiza majukumu yake kama mzazi.

2. Akothee

akotheee_

Akothee ni mama wa watoto watano na baadhi ya watoto hao ni kutoka baba tofauti.

Ata baada ya kuwapoteza watoto watatu, Akothee hakufaa moyo kwani aliendelea kuwalea watoto wake.

3.Pierra Makena

makenaaa

Pierra Makena ambaye ni DJ, ni mmoja wapo wa wanawake ambao wanalea watoto wao bila usaidizi wa baba zao.

Pierra ana binti mrembo aiitwaye Ricca Pokot.

Jamii yadai haki baada ya wana wao kuuwawa na umati kule Saboti

4.Avril

avrill.

Avril ni mwimbaji anayefahamika vizuri hapa Kenya.

Avril ana mtoto mmoja.

Photo Credits: instagram

Read More:

Comments

comments