'Weka manzi yako mbali!' Willy Paul awaonya wanaume

Msanii willy Paul anafahamika kwa tabia zake za kitandani kulinga na wana wengi wa mjini ambao wamemjaribu , tabia za msanii Paul zimekuwa zikifichuliwa na wanawake hao mara kwa mara kupitia kwenye mitandao ya  kijamii.

Pia wamekuwa wakifichua tabia zake za kuwatumia jumbe kwenye DM zao.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram willy Paul aliposti video akiucheza wimbo wake alioutoa hivi majuzi na mwanamke huku akiwa ameMshikilia kiunoni sambamba.

Baada ya kuposti video hiyo aliandika ujumbe mfupi unaowaonya wanaume wao wawashilie wapenzi wao ili hasiwanyakue.

https://www.instagram.com/p/CDf1lqgJzzK/

"THE KING HAS DECIDED TO ENTERTAIN YOU!! WEKA MANZI YAKO MBALI.. LOOK AT THE WAIST INA DE BEDROOM!!" Willy Aliandika.

Mashabiki wake hawakukimya bali kuacha video hiyo kupita baila hisia zao;

wicklife254 😂😂😂Kijana wa Salome 😀💪

carole.keysha 24 inch😂😂😂wah. Hawa macelebs kumbe ni shobo tu

_tev_trig3 Ile mchezo uko nayo willy 😂🔥🔥

cute_iddah Fire waist😍

moisbridgian namwekea kofuli😂😂😂

mtengwa_one Uliomoka mbaka akili wewe unadai kuokoka sasa😂

mapenzitown Hatari