Jerusalema: Kutana na Nomcebo Zikode ambaye sauti yake imeupamba wimbo maarufu wa Jerusalema

Muhtasari
  •  Nilikuwa nimepoteza matumaini ,Jerusalema imejibu maombi yangu
  • Wimbo wenyewe umechezwa mara  milioni 55 katika  Spotify
  •  Master KG  ameijipatia  mashabiki milioni 9 kila mwezi katiKa Tiktok  ambapo wimbo huo umetazamwa mara milioni 385!

 

Nomcebo Zikode
Image: Hisani

 

Msanii ambaye sauti yake ndio inayosikiza katika wimbo maarufu kwa sasa Jerusalema  Nomcebo Zikode anasema  alishangazwa jinsi wimbo huo ulivoteka ulimwengu mzima kwani wakati akiuimba studuioni akiwa na  na DJ  wa  Afrika kusini Master KG hakujua kwamba kazi hiyo ingekuwa ya kutambulika kote .

 Iwapo hadi sasa hujui Jerusalema ni wimbo upi au hata hujaona  shindano la kudensi wimbo huo ambalo kila mtu ,kampuni ,mashirika ,vikosi vya usalama na wafanyikazi mbali mbali wameshiriki ,basi upo katika ulimwengu wako.Wimbo wenyewe ulikuwa tayari  umetaka masafa ya Afrika kusini mwezi disemba mwaka jana , na katika mwaka mpya wa 2020 kufikia Oktoba sasa ndio umesambaa ulimwengu mzima . Zikode alikorekodi kibao hicho usiku mmoja karibu na mji wa Johannesburg na anasema alikuwa akipitia mengi na hata alikuwa ashaanza kupoteza matumaini . Akiwa kwake , Master KG alimpigia simu aj akasikize biti nzui ambayo alikuwa ametayarisha na alimtaka atafute mistari ya wimbo ambao wangeweza kuutengeza kwa biti hizo .

For bookings email: music@open-mic.co.za Master Kg sits on top of the world as one of the most decorated musicians of his generation as a recipient of the coveted continental and African diaspora Afrima 2018 Award for Best Electro and Dance; Afrimma 2019 Award for Best Male Southern Africa; SABC Summer Song 2018 for Skeleton Move; and the Limpopo Music Award for Best House Single for Skeleton Move. On this smash hit he features the multitalented vocalist Nomcebo Zikode who is better known for blessing sweet vocals on Emazulwini and Imizamo Yami. Available Worldwide via: http://africori.to/jerusalema.oyd Digital distribution by Africori: http://www.africori.com LET'S COUNT DOWN TO SONG OF THE YEAR 2019\2020 #jerusalema #MasterKG #openmicproductions

 Alipojuja na kusikiza biti hizo alipendezwa mazo lakini akamtaka Master G amruhusu aende nazo nyumbani asikize Zaidi .Master G alikataa kumpa  akimtka asilikilize pale studioni .Muda mfupi baadaye , Zikode alipata mistari ya kufoka na wakarekodi wimbo huo hadi saa sita usiku .wakati huo hawakujua kwamba kibao hicho kufikia mwaka huu kitakuwa na umaarufu kote na  kimetazamwa katika Youtube mara zaidi ya milioni 170 .

‘ Yote haya yalifanyika wakati nilikaribia kupoteza matumaini’ anasema . Zikode amekuwa muimbaji wa pembeni kwa muda mrefu na alitaka tu sauti yake kusikika na wimbo wenyewe ulikua kama duala kwa Mola kutimiza ndoto yake .

 Tangu wimbo wenyewe kutolewa Afrika kusini mwishoni mwa jana ,umekuwa ukichezwa kote  na  katika chati za kimataifa  umejipata katika tano  bora kwenye nchi za  Belgium, France, Hungary, Netherlands Switzerland

Wimbo wenyewe umechezwa mara  milioni 55 katika  Spotify,  ambapo MasterKG  ameijipatia  mashabiki milioni 9 kila mwezi katiKa Tiktok wimbo huo umetazamwa mara milioni 385!

 

Kiss 100 Kenya | Kenya’s No.1 Hit Music Station | Kenya's hip, urban FM station with a special influence on pop culture, pop music and a target audience of the urban youth. #JerusalemaChallenge #RadioAfricaGroup Kiss 100 Kenya social media handles Instagram - https://bit.ly/2pw68q5 Twitter - https://bit.ly/2n8FUcB Facebook - https://bit.ly/2na8cU7