Watu hapa wanamsifia Diamond lakini hawaungi Otile brown mkono-Octopizzo

Muhtasari
  • Octopizzo awakashifu wakenya kwa kuupa wimbo wake Diamond sifa tele
octopizzo
octopizzo

Rappa Octopizzo  amewakashifu vikali wakenya ambao wanamuunga mkono msanii Diamond huku akisema kwamba wanaunga msanii wa nchi nyiingine mkono ilihali hawawezi uunga msanii wa humu nchini Otile Brown.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter Octopizzo alisema kwamba wanamitandao wa kenya wamo makini sana kuunga mkono kibao chakke Diamon cha Waah' ambacho alimshirikisha msanii wa rhumba Koffi Olomide.

"MFs hapa nje wanamlimbikizia Diamond sifa lakini hawawezi kumuunga Otile Brown mkono, usikivu ambao upo kwenye hizi mitandao.Smh." Aliandika Octopizzo.

 

Ni ujumbe ambao uliibua hisia mseto na mjadala , na haya hapa baadhi ya maoni ya wanamitandao;

ً 90's: Glorifying mediocrity is in human nature why do you think people gas you up?

Gupta: Sasaa wewee... tulia , acha watu walkie kitu wanataka bana ala. Mkiimba ujinga mna expect

SHANKI: Even Otile Brown looks up to Diamond

Max: Lakini ngoma zako wewe pia heri niskie news.

Pharaoh: I get that Otile is kenyan, but must i keep trash in my house just because it's made in Kenya? No way. Trash remains trash.

BaZu: Swears otile is better, diamond is just a hype