Haya hapa maswali ambayo mwanamke anaweza kukuuliza kama ana hisia zako

Muhtasari
  • Maswali ambayo mwanamke anaweza kukuuliza kama ana hisia zako

Karne hii ya sasa akupendaye wa kwanza anakiri upendo wa mbele ilhali hangoji kuambiwa kuwa unapendwa.

Kuna wale wanaona si vyema wanawake kumwambia mwanamme kuwa anampenda wa kwanza wengi huona kama ishara ya kukata tamaa.

KUna baadhi ya maswali ambayo mwanamke anaweza kukuuliza kama ana hisia zako.

 

Anapokukuuliza maswali au swali hilo haya basi haya yanaweza ashiria kwamba ana kupenda aua la.

1. Unapenda mwanamke yupi 'crush'

Akikuuliza unampenda mwanamke yupi  au 'Crush wako ni nanai anataka kujua anashndana na nani katika sekta ya kukupenda.

2. Unawapenda wanawake wa aina gani

KUna baadhi ya wanaume hawatakupenda kwa ajili wana haja ya kukupenda bali wanachaguo la moyo wao wanapenda mwanamke labda mrefu mfupi na mengine mengi.

3.Unapenda kufanya nini

Kama mwanamke ana hisia zako basi atataka kufahamu unapenda kufana nini wakati ambao hujashikana ili aweze kukuelewa sana na vyema

 

ia anataka kufaamu hayo ili aanze kutenga muda ili awe nawe na pia anaweza penda kuwa katika uhusiano wa kimapenzi nawe.

4.Nini kimekupendeza kwangu

Ni swali ya kila mwanamke kutaka kujua kwanini mwanamme ameamua kuwa naye na kumpenda.

Swali kuu ambalo wengi wanaulizana je ni vyema mwanamke kukiri upendo wake kwa mwanamme kama hajakiri wake?