'Ogopa marafiki,'Diana Marua afichua vile marafiki walimtenda

Muhtasari
  • Mkewe msanii Bahati, Diana Marua  amefichua kile ambacho maraiki zake walimfanyia baada ya wao kugundua kwamba anawachumbia wanaume wawili
  • Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Diana aliwashauri mashabiki wake wawaogope marafiki zao
Screenshot_from_2019_12_20_16_26_21__1576848403_98685
Screenshot_from_2019_12_20_16_26_21__1576848403_98685

Mkewe msanii Bahati, Diana Marua  amefichua kile ambacho maraiki zake walimfanyia baada ya wao kugundua kwamba anawachumbia wanaume wawili.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Diana aliwashauri mashabiki wake wawaogope marafiki zao kwani hawajui kile ambacho wamepanga kinyume yao.

"Sikufikiria niko tayari kuwaambia hii hadithi,lakini si ni maisha, ni jambo ambalo lilipita na lazima tuendee na maisha licha ya hayo

Nilicheza wanaume hao wawili, na watu ambao na waita "marafiki" walifungua kikundi cha mitandao ya kijamii ya Whats App na wakawaingiza wanaume hawa wawili ili wanihaibishe

KIle naweza sema ni kuwa ogopa marafiki, hayo mengine ilikuwa moto,sijaanza kuongelelewa leo," Aliandika Diana. 

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya Diana kufichua alichotendewa;

chinesekikie: Waah Dee hii nakuja coz niliskia years ago & couldn’t believe it . Mmoja alikua jirani 🤣🤣🤣

shivanimercy: Dee kwli marafiki waogope

nairobian._.ray: WAREMBO WA BAHA

benhashaka: Uuuuiiiii mambo ni hatari kabisa 😍🔥😂

mercybarakah: 😂😂😂😂Aty mmesema ogopa marafiki😂😂😂

opportunestyles: Ogopa marafiki 😂 nimepitia risto mob and I can't call anyone my friend

kellymaggy: Kweli ogopa marafiki🤞

matariirene: We'll also date married guy baha uskie venye inakuwanga

kinya.gladys.148: 😂😂😂kumbe ni mtindo😅 we love u regardless