Kuitwa Iluminati inauma, hakuna kitu kama Iluminati-Akothee asema

Muhtasari
  • Msanii Akothee asema hamna kitu kama Iluminati
  • KUlingana na Akothee jamaa zake waliema kwamba ndiye aliyesababisha vifo vya jamaa zake wa karibu
akoth stylish 1 (1)
akoth stylish 1 (1)

Msanii Esther Akoth maarufu Akothee amezidi kuzungumzia Illuminati, baada ya kufichua kwamba kuna baadi ya jamaa zake walisema kwamba amejiunga na kikundi hicho.

KUlingana na Akothee jamaa zake waliema kwamba ndiye aliyesababisha vifo vya jamaa zake wa karibu.

KUpitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alisema kwamba amekuwa akitia bidii yake kwa kazi zake.

 

Pia alisema kwamba matunda mabayo anavuna siku hii ya leo ni kwa ajili ya bidii yake ya awali.

Akothee amesema kwamba kuitwa iluminatii inauma, bali hamna kitu kama Iluminati kwani watu wanapaswa kuchunga boma zao.

"Hamna kitu kama Iluminati, chunga boma yako na huifanye iwe njema kwa ajili ya moyo wako na bali si kwa ajili ya kujionyesha

Eeee 😂 kuitwa iluminati inaauma sanaaMimi mtoto mdogo hivi mbona nawababaisha?" Aliandika Akothee.

Siku ya Alhamisi Akothee alitoa kibao kipya kinachofahamika kama 'Hayakuhusu' ni kibao ambacho kinawakomesha mahasidi amabo wanapenda kumuongelelea msanii huyo.

Hii hapa video ya kibao hicho;

Haters are people who see themselves in you, the level of admiration turns into obsession ,they envy your lifestyle and wish they could be on the same page . Haters are people who talk successful people out of their dreams , because they have no goals nor dreams ,they have no life going on in their lives ,they find refuge and comfort in addressing their insecurities to others . Inshort Haters are fans in disguise They criticise then they copy. Jealousy is a decease get well soon. AKOTHEE KENYA CONTACTS Email - bookings@akothee.com Facebook -https://www.facebook.com/akotheekenya Twitter - https://twitter.com/AkotheeKenya Instagram - https://www.instagram.com/akotheekenya Website - http://www.akothee.com/