'Lakini ingekuwa Binadamu wanatoa ningekosa,'Nadia Mukami awaambia mashabiki wamshukuru Mungu

Muhtasari

Msanii Nadia MUkami ni mmoja wa wasanii wanawake ambao wamekuwa na bidii katika tasnia ya burudani licha ya kuwa na changamoto nyingi kwenye tasnia hiyo.

Nadia-2-e1566897594626-696x395
Nadia-2-e1566897594626-696x395

Msanii Nadia MUkami ni mmoja wa wasanii wanawake ambao wamekuwa na bidii katika tasnia ya burudani licha ya kuwa na changamoto nyingi kwenye tasnia hiyo.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alisema kwamba ingeuwa mwanadamu anamlinda wala kumbariki hangekuwa mahali alipo.

Pia alisema kwamba hangekuwa karibu kufika mahali alipo, huku akiwashauri mashabiki wake wamshukuru Mungu kwa vyovyote.

 

Mwaka jana msanii huyo alitoa kibao, akisema kwamba ingekuwa ni mwanadamu anatoa angekosa, kwani ni ukweli baadhi ya wanadamu wana roho chafu.

"Lakini ingekuwa Binadamu wanatoa ningekosa!!! Ata singekuwa anywhere close!We should be greatful ni Mungu 🙏," Aliandika Nadia.

Soma jumbe za mashabiki baada ya kuona ujumbe wake msanii huyo.

tony_mwirigi: Unaachia Ngoma Lini?

mista_e_kenya: Enyewe hii ndio "akili ni nywele kila mtu Ana zake" 🔥

nairobian_duke: Kanadia katambe❤️❤️❤️❤️

bracky.bracky.9: 👏enyewe si kelele n maombi , gorgeous❤️❤️

 

sweetorians: Soon I'll be there babe

youngharrison97: Kila hatua ni maombi yuh🙏🙏🙏