'Karibu nyumbani,'Wakenya wamwambia Larry Madowo baada ya kuwasili nchini

Muhtasari
  • Mwanahabari Larry Madowo arejea nchini, huku wakenya wakimkaribisha
madowo1
madowo1

Mwanahabari mashuhuri Larry Madowo alirejea nchini siku ya Jumapili Mei 16 baada ya kuajiriwa na kampuni ya uhanahabari ya CNN.

Mwanahabari huyo mzaliwa wa mkoa wa Nyanza nchini Kenya ataifanyia kazi kampuni hiyo ya kimataifa akiiripotia toka upande wa Nairobi, Kenya.

Hivi karibuni, Madowo amekuwa kwenye kampuni ya uanahabari tajika ya BBC akiripotia pande ya Washington DC iliyoko Amerika ya Kaskazini.

 
 

Akitoa tangazo hilo, Deborah Rayner ambaye ni mmoja wa wakuu katika CNN alimsifia Larry kama mwanahabari shupavu na aliye na uzoefu mkubwa katika kazi ya uanahabari.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mwanahabari huyo alipakia picha akiwa amewasili katika uwanaja wa ndege nchini.

Baadhi ya wakenya walichukua furrsa hiyo kumkaribsha nyumbani huku wengine wakimpongeza kwa kazi yake mpya.

Hizi hapa jumbe za baadhi ya wakenya;

willisraburu: Welcome back home

eddiebutita: Where is the pickup bro?

cynthianyamai: Yeeeeees! Welcome back hom

 
 

alexmuhangi: @larrymadowo wait, it’s happening this quick 🤷🏽‍♂️ I thought to given vaccy for a few months then...umestart. All the Best 🙌

keys_palace: Kwani hujabeba viombo na viti etc zile ulikuwa unatumia huko? Si uniletee ju najua bado ni mupya

sheri_ruria: Karibu nyumbani kipenzi chetu