Umemwaibisha'baby mama' wako na kumkana mwanao hadharani,'Wanamitandao wamwambia Eric Omondi

Muhtasari
  • Wanamitandao wamshambulia Eric Omondi baada ya kujitetea

Mashabiki kwenye mitandao wamemshambulia Eric Omondi, baada ya kuandika ujumbe mrefu na kuwanakilia mashabiki kumbukumbu zake na Jacque Maribe.

Kulingana na Eric, wakati wa ngono na Jacque walitumia kondomu, ila baada ya kiezi 2 Jacque alimwambia kwamba ana ujauzito wake.

Pia mchekeshaji huyo alidai kwamba, kwa miaka 7 amekuwa akiomba mama wa mtoto wake wafanye DNA bila mafanikio yoyote.

Mwanaharakati wa haki za binadamu Boniface Mwangi, baada ya kuona ujumbe wake Eric amemshauri hajafanya jambo jema.

Pia aliweka wazi kwamba amemkana mwanawe hadharani na kumwaibisha mama wa mtoto wake.

"Hii sio nzuri@ricomondi. Umemtia mama ya mwana wako. Imekuwa ujuzi wa umma kwamba wewe ni baba wa mtoto wake Jacque na wewe hata ulikiri sana

Kwa hiyo hadithi hii yote unayoleta inaweza kuwa ya kweli lakini kwa umma hakuhitaji kujua sana. Ni heshima kuwa baba na @jacquemaribe alichagua wewe kama baba ya mwanawe. Sasa mwana wako, kwa kuwa yeye anajua wewe ni baba umemwaibisha na kumkana mtoto wako hadharani,sio vyema bro," Mwangi aliandika.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

yycomedian: Sam ogina alikuwa ata hajiskii kupika leo akanunua mala na ugali ndio aazishe squid game then boom

mainawakageni: Aki Social Media wewe!

daddyowen: Wah I remember ths discussion we had many years ago ...๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข u guys are both my friends.. wah.. sasa hii wah

millychebby: Yani hata hakuna commercial break we breathe weeeeee

carolinacarlz: Gai๐Ÿ™Š๐Ÿ™Šuuwii delete aki hii post

sharon_momanyi: Was this necessary? Thereโ€™s a whole innocent child involved, no matter all else.

nebulazzkenya: Nani ako na Ile ngoma ya Bensol na Mejja inaitwaa NAIROBI yule anakupea pia ananipea anitumie nataka kuiskiza time ilitoka sikuwa na bundles๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ

christinewawira: You have every right to request a DNA test and she should comply if she wants you to support the child.