Penzi kikohozi nisamehe,'Msanii Lava Lava amuomba mpenzi wake msamaha

Muhtasari
  • Msanii Lava Lava amuomba mpenzi wake msamaha
  • Mara kwa mara msanii huyo amekuwa akitoa vibao vya kuumizwa moyo, na hata vingine vya mapenzi
Lava lava
Image: Instagram

Msanii wa bongo Flava amabye amesajiliwa na lebo ya muziki ya WCB, Abdul Juma Idd  marufu Lava Lava anafahamika sana kupitia kwa usanii wake.

Mara kwa mara msanii huyo amekuwa akitoa vibao vya kuumizwa moyo, na hata vingine vya mapenzi.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliwaacha mashabiki na gumzo baada ya kumuomba mpenzi wake Lulu Diva msamaha.

"Dah Usiku Wajana Ndosijalala Kabisa Lulu Kiukweli Achatu Ifike Mahali Mtu Aweke Wazi Penzi Kikohozi Alijifichi Nakupenda Lulu Bora Niwe Mtumwa Kwako Hakuna Jinsi inaenda Wiki Sasa Hatuelewani Naumia Binadamu Tumeumbiwa Kukosea Hakuna mkamilifu Samahani Sana Narudia Tena Samahani nisamehe Mwenzako Plz πŸ’”πŸ’”πŸ₯ΊπŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦," Aliandika Lava lava.

Kilicho washangaza mashabiki ni kuwa ni kwanini kilichowafanya wawili hao wakosane.

Hizi hapa hisia za mashabiki;

queendarleen_: Ndio na mkoo kaka @iamlavalava uko sawa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

_adihuat__020: Mbn unatuletea maigizo.... ndo aina mpya ya kiki hii auπŸ™„πŸ™„

shebby_genius: Mapenzi mchezo pendwa wenye mashabiki wengiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

bonrobs_: We nae kila siku wew tyu unaumizagwa🀣

mbe._rwa: Penzi limevuja tena ahhhhπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚