Tunajua ni kiki,'Mashabiki wamwambia nduguye Diamond baada ya kusema msanii huyo haoi

Muhtasari
  • Pia kuna baadhi ambao wamesema kwamba wanafahamu ni kiki, na hamna haja ya kuwajulisha

Romyjons ambaye ni ndugu ya msanii wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Diamod Platnumz amewasha moto mitandaoni baada ya kuddai kwamba , msanii huyo aoi kama ilivyotarajiwa

Ni jambo ambalo mashabiki wengi wamesema kwamba wamechanganyikiwa kwani hawafahamu haswa nani anasema ukweli.

Pia kuna baadhi ambao wamesema kwamba wanafahamu ni kiki, na hamna haja ya kuwajulisha.

Romy aliandika na kusema kuwa;

"DIAMOND AOI 😁," Aliandika Romyjons kwenye ukurasa wake wa instagram.

Uvumi umekuwa ukienea kwamba Diamond na msanii Zuchu ni wapenzi na hivi karibuni watafunga pingu za maisha

Lakini nani anasema ukweli ni kiki au ni ukweli wawili hao watafunga pingu za maisha siku ya wapendanao?

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

romyjons__tweet: UNATUCHANGANYA 😒

faridahassan87: Tunajua aoi. Kiki siku izi ngumu πŸ™„

amjannana: Kwani nani amesema anaoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

iam_valentinetz: Tunajidanganya wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

abby_chams_gallery: UNATUCHANGANYA BANA ROMEO πŸ˜‚πŸ˜‚

angelmfugale: SAS sii inatuus nin jamnii aoee asioo siee haituus afuu ndoaaa ni sunaa nijamboo la heriii nandomn wanasema ukifunga ndoaa nimoja ya nguzo ya mwislam.asa iyoo ndoaa mnaifnyaa kama skend dah