Mashabiki wamshambulia Robert Alai kwa kumkejeli mtangazaji Massawe

Muhtasari
  • Mashabiki wamshambulia Robert Alai kwa kumkejeli mtangazaji Massawe
Massawe Japanni
Image: Massawe Japanni/Facebook

Mtandao wa kijamii wa facebook haswa wa mtangazaji wa Radiojambo, umewaka moto baada ya kupakia picha akiwa kwenye  gari.

Maasawe ni mmoja wa watangazaji ambao wanasherehekewa sana na mashabiki kwa bidii ya kazi yake ya utangazaji.

Mama huyo wa watoto 3 anasifika sana kwa saut yake ya kumtoa nyoka pangoni, na urembo wake.

Mtangazaji huyo alikuwa akiigia debe mafuta ya Vaseline, huu mwanablogu Robert alai akijipata pabaya na wanamitandao baada ya kumkejeli mtangazaji huyo.

"Yawa rafiki yangu Massawe gari ya mwanamke haipaswi kuwa na vumbi hivifunga madirisha na kisha ufurahie AC au uoshe kila siku," Robert aliandika.

Mashabiki hawakuchukulia ujumbe wake Lai vyema kwani walianza kumshambulia kwa kutoa hisia tofauti na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

Joshua Odera: Robert Alai acha madharau

Mercy M Makokha: Robert Alai macho ulipewa pooooh . Had to.zoom to.see .hahahha

Chebii Arap Samoei: Robert Alai *should not* Kumbe ata Kingereza ni sida Alai

Charles Minjire: This type of people who will never comment anything positive on people's life

Davy Redeemer: Robert Alai you always comments negativity on people's lives shenzi sana

Abuu Tosh: Robert Alai ulali juu ya maisha ya watu sio

Dencia Chep: Robert Alai you are bitter in everyone 😁