Here to Stay: Wanafunzi kusalia nyumbani kwa muda baada ya tarehe ya kufungua shule kubadilishwa

The ministry of education message
The ministry of education message
Wizara ya elimu  imeahirisha  kufunguliwa kwa shule   zote kwa muhuma wa tatu kwa wiki moja .

Arifa iliyotumwa na wizara ya elimu  kwa wadau wote wa sekta hiyo  imeonyesha kwamba shule sasa zitafunguliwa tarehe mbili septmba na  kufungwa Oktoba tarehe 25 mwaka huu .

kulingana na wizara hiyo hatua hiyo imechukuliwa ili kufanikisha zoezi la sensa kwani tarehe za zoezi hilo za 24 hadi 25 agosti zilikuwa zikikinzana na tarehe ya kufunguliwa kwa shule .