Don’t disappoint our ancestors,' Mashabiki wamuomba Larry baada ya kurejelea runinga kaa takataka

Mwanahabari wa runinga ya BBC Larry Madowo anaishi maisha ya kifahari, kwa sasa anaishi nchini New York alipost picha ya takataka zilizokuwa nje ya nyumba yake, katika picha hiyo kulikuwa na runinga.

Ni jambo ambalo liliinua hisia mbalimbali, katika picha hiyo Larry alieleza maelezo mafupi,

"Trash outside my apartment.This new York will show me things." Larry Aliandika.

Baada ya kupost picha hiyo kwa wakenya haikuwa jambo la b usara na isha kumwambia Larry akue mkenya kamili na achukue runinga hiyo apeleke nyumbani mwake.

Wengine walimwambia asijaribu kuwasikitisha mababu wa kitambo, huku wengi wakimpa mawaidha aichukue na kuenda kuuza.

Vintage Leah Don’t disappoint our ancestors, we’ll disown you

Munir Kirunda Just unleash the Kenyan in you en collect it… Bro 😂😂😂

Major Generali Just pick them up bro, in fact you should be waking up early every morning to check the dustbins in your plot and other adjacent plots just in case u find something valuable you bring home….

Hon. William Chepkut Don’t lose our culture bro.. Do the necessary and have it inside asap.. Our ancestors will haunt you if don’t.

Dickson Nyongesa Good business…. Import of second hand electronics. Larry we can do this

Owily Madoro Kuna viatu naona hapo ndani ya polythene, Larry ebu check ni number ngapi?

Mbembe Cia Doree New York hakunanga machokora, cheza chini usituabishe pal 😂😂

Alex Rottich Some of us started life with the trash thrown out. We called it DUMPSTER DIVING, i picked my first sofa, 2 bar stools, fridge and Tv from the roadside.

Collins Omondi Okello Stop posting! Organize, mobilize, viva that tv into your house! And wait, is that a used tin of yoghurt in that polythene bag?? Jesus Christ, what wastage! Please clean it and use it to serve drinking water ASAP