Kutoka Moi Dei hadi Mazingira Dei: Jinsi Oktoba 10 imepitia mabadiliko mengi miaka iliyopita

Oktoba 10 iliwekwa kama likizo kwa mara ya kwanza 1990 na hayati Daniel Moi lakini ikakataa kutambuliwa wakati wa kutangazwa kwa katiba mpya ya 2010, kisha mahakama ya upeo kuitambua tena 2017.