‘F**k you!’ Msanii Wangechi amfokea Babu kufuatia bili ya 7.5M ya DJ Evolve

Mbunge wa Embakasi mashariki, Babu Owino amekasirisha wakenya wengi baada ya kumtusi msanii Wangechi.

Wangechi alichapisha taarifa fulani ya runinga ya Citizen, mtandaoni wakisimulia jinsi Babu Owino alivyoitenga familia ya DJ Evolve huku wakikosa usingizi wakishindwa jinsi watakavyo lipa bili ya hospitali ambao sasa hivi imefikia milioni 7.5 licha ya agizo la mahakama.

I SAY THIS FROM THE DEEPEST PART OF MY SOUL, F**K BABU OWINO!’ WANGECHI ALICHAPISHA KATIKA MTANDAO WA TWITTER.

Mbunge huyo naye kwa upande wake aliamua kumjibu kwa njia iliyoshtua wengi akimwambia,

 

Babu alimpiga DJ Evolve risasi shingoni katika klabu ya B Club na sasa hivi anapigania masiha yake katika hospitali ya Nairobi, kitengo cha wagonjwa walio hali mahututi.

Wakenya hawakungoja kwani walimshambulia Babu Owino, huku wengi wakimwambia achangamke na kulipa bili ya hospitali ya DJ Evolve.

Bryan We msee.. Lipia huyo jamaa bill bana… Uwache ufala.

Sammy Macharia Disappointing we have such leaders in place

😔.

Mutamaduni Enda ulipe bill uwache pang’ang’a.

princejnr23 You shot a guy in the neck without flinching my ni**,how people are cheering you is something I don’t understand…

Baadaye, Owino alichapisha ujumbe kutoka kwa kitabu cha Quran 13:11 akisema;

“ALLAH NEVER CHANGES THE CONDITION OF PEOPLE UNLESS THEY STRIVE TO CHANGE THEMSELVES.”