Pesa Otas!Tazama picha za nyumba ya Akothee.Utamwaga ute

Aiyeee! Wahenga walisema pesa ni maua!aidha,pesa zikiwa zitumike.

Madam Boss ni miongoni mwa wanamuziki tajiri zaidi nchini na ni bayana hata kupitia kwa vile ambavyo anaishi maisha yake kuwa binti huyu hujifunga kibwebwe na kufanya kazi yake vyema kwani binti huyu ametajirika si kidogo.

Amini usiamini,Akothee alionyesha picha za nyumba yake juzi na sadiki usisadiki nyumba hii ni ya kifalme.

Zaidi ya hayo,mwanamuziki Akothee alitetea mali yake na kusema kuwa,anaweza safiri kuenda ulaya na hata pia kula vyakula vya aina mbalimbali kwani  hana cha kujutia kwani wazazi wake wanaishi maisha mazuri pia.

“I can courageously walk into my parents compound and park my big car infront of their house without any guilt, I can slay and travel business class knowing my parents are sleeping in a cool place, I might seem mad to you, but just know this idiot is too sharp and focused in life, loosers will say am proving a point, cowards will say am a ritualists, unlucky ladies will say money from sponsors, never mistake knowledge for wisdom, am too wise to live a fake life, this is me, take me or live me.” Akothe aliandika.

“You are allowed to be proud of your accomplishments and admire your efforts, if you feel am bragging then just wait, I haven’t offended you yet, there is nothing to brag about here. I haven’t arrived in my comfort zone , when I will land there! Then you will know😂😂 that I have surely arrived, the rate at which I will brag😂😂😂😂 even God knows! Thats why its taking too long to reach there 😂😂😂😂, Even Amerka will know that maskini amepata 😂😂😂😂 nitawasumbua mpaka panadol ziishe kwa duka 😂😂😂😂.”

Hebu tazama picha!