Nyayo za mama;Rue Baby aonekana akicheza na mwanamziki tokea Nigeria

Jumapili 16/2/20202 wakenya wajaza katika ukumbi wa Uhuru Gardens wakingojea kutumbuizwa na mwanamziki Kizz Daniel tokea Nigeria.

Kati ya wale waliokuwa wanasubiri kutumuizwa huko ni mwanawe Akothee Rue Bbay aliyekuwa amevalia katika mavamzi yaliyokuwa yamembana ,rangi ya nyeupe na nyeusi.

l

Wakati alipofika kwenye stani kuaza kuimba nyimbo zake Kizz Daniel,Rue Baby alimrukia mwanamziki huyo na kuanza kumtingishia kiuno chake kama alikuwa anawashwa sehemu nyeti.

Kizz alipendezwa na umbo la Reu Baby na hukusadiki kuanza kumpiga Makumboro ya nyuma na hata wakati mwengine alionekana akimbeba kwa ukaribu.

Rue kwa upande wake aliakikisha kuwa anatingisha kiuno chake kadri anavyoweza na kuwaacha waliokuwa wameudhuria tamasha hiyo kinywa wazi.

Hata wakati densi hizi zilikuwa zinanenguliwa baina ya Rue na Kizz ,mpenziwe MCA Tricky hakuwa na chakufanya ila kuangukuwa kicheko akitazama minenguo hiyo ya viuno.

Akothee amekuwa akiwapa wanawe uhuru wa kujistarehesha na watu mbalimbali na wakati mwingine huonekana na wanawe katika mikahawa mbalimbali humu nchini.