Khaligraph Jones aeleza kwanini hakuhudhuria mazishi ya rapa Chris Kantai

Khaligraph Jones hakuwa tu rafiki wa mwendazake rapa Kantai bali walikuwa marafiki wa kupigiwa mfano wakati alikuwa hai,Kantai alikuwa mpenda vileo.

Mbali na Jones kuwa rafiki wa Kantai pia waliimba pamoja jukwaani na baada ya kifo chake mengi yalisemwa kwa maana rapa Khaligraph hakuhudhuria mazishi hayo licha ya yake kuwa rafiki wa karibu.

Rapa Jones alieleza kwanini hakuhudhuria mazishi hayo huku akisema haikuwa nia yake ya kutohudhuria mazishi ya mwendazake mabli alikatazwa kuenda katika mazishi hayo.

Je sababu ni gani? hii hapa sababu ya kutohudhuria.

Akiwa katika mahojiano Jones alisema kuwa mama yake Chis kantai alidai na kusema kuwa yeye ndiye alifanya mwanawe awe katika mawazo chungu nzima kisha kusababisha kifo chake.

Licha ya hayo yote Khaligraph alitoa mchango wake wa mazishi hayo.

"Even after his death a lot of things were said, that ooh Khaligraph you went and worked with him and when he was suffering I just left him to suffer. They are always looking for someone to blame when there is a crisis. Do you know I wasn’t allowed to attend his burial in Ng’ong? Apparently, this is what was being said about the whole ordeal, Kantai’s mom was made to believe that I’m the one who made Kantai go through depression and eventually passing away.”Jones Alisema.

Alizidi na kueleza nini kilijiri ili aambiwe ni yeye alifanya Chris Kantai aage;

“That’s why I’m telling you, when you raise to certain levels in life and you have influence over people and you are making it, you are successful people will always have bad intentions. It is said that I’m the one who took Chris Kantai’s style and ran with it and now I left him to suffer, instead of helping him out. It is said that I owed him money from the song we did together. That I didn’t pay him and now he passed away and it’s all because of me. And now the mom gave directives that Khaligraph Jones should never be allowed to attend Kantai’s funeral. That is how it happened. It hurts but, it is what it is,”