'Lala salama mke wangu bado naota,' Meneja wa Diamond Babu Tale aomboleza

Babu tale
Babu tale
Babu Tale amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya siku 45, baada ya kifo cha mkewe kilichotokea ghafla, Babu ambaye anawania kiti cha ubunge katika jimbo la Morogoro aliposti video ya mkewe na kusema kuwa hadi leo hakuwahi amini kifo cha mke wake.
“RIP MY WIFE 💔💔💔 NI 45 DAYS TANGU UMENIACHA MAMA TT NAHISI BADO NIPO KWENYE NDOTO." Babu Aliandika.

Mashabiki wake waliomboleza naye na hizi hapa baadhi za jumbe zao;

shadrackvum R.i.p mbele yake nyuma yetu

i_am_atha Pole sana kaka

celebritycommentz Allah amrehemu na akupe subra Inshaa’Allah

linexsundaymjeda Pole sana brother 🙏

samwelp Pole sana Boss yote mipango ya Mungu

habibuled Pole sana ndugu yangu.

mbosso Daah Pole Sana Boss Tale ..Mwenyezi Mungu akupe nguvu Inshaallah 🙏

queendarleen 😔😔 Baba mungu akupe nguvu inshaallah 🙏

wolperstylish Pole sana

gracematata Mungu akupe faraja na amani ndugu yangu 🙏🏾🙏🏾

hebrontraveller Pole sana mkuu dunia njia… Mungu akutie nguvu ni ngumu kuzoea

Hii hapa video hiyo;

https://www.instagram.com/p/CDvxzqnBjuD/?utm_source=ig_embed&utm_campaign=loading