Wakenya wagadhabishwa na ombi la DJ Evolve la kutupilia mbali kesi yake

Muhtasari
  • DJ Evolve alipigwa risasi na mbunge huyo mapema mwaka huu
  • Mcheza santuri huyo aomba kesi dhidi ya Babu kutupiliwa mbali
KZ5YGdqq.jfif
KZ5YGdqq.jfif

Mcheza santuri Felix Orinda, almaarufu DJ Evolve, ameitaka makahama kumaliza kesi ambapo Mbunge Babu Owino ameshtakiwa kwa kumpiga risasi.

Baada ya wakenya kuona ombi lake waligadhabishwa sana na ombi hilo huku wakiibua hisia tofauti kwenye mitandao ya kijamii.

Kulingana na nduru za habari DJ Evolve alisema kesi hiyo imekuwa ikimsumbua na hivyo kutatiza safari yake ya kupona.

 

Kupitia kwa wakili wake Ken Mumbo, alisema amekwisha fanya mashauriano na familia yake na wakaafikiana keshi hiyo ihitimishwe.

Alisema hilo litampa nafasi ya kushughulikia hali yake ya sasa badala ya kupambana na kesi mahakamani.

Hata hivyo, upande wa mashtaka uliitaka mahakama kuupa muda ili kuchunguza hali ya kiakili ya msanii huyo.

Hizi hapa hisia za wakenya wengi;

Kenneth: If the incident involving Babu Owino & DJ Evolve had happened in US or UK, the Mp would be serving a life sentence in jail but because we are in a country where the judiciary & Prosecution only jails the poor........ They are now planning to declare BABU OWINO mweupe kama pamba

Ndauwo mwenyewe: Seems he's lost hope of ever getting justice...

 

Surtaan: The wheels of justice grinds at the speed of God in this country. Many lose hope of justice along the way.

 

Ral D: DPP must teach politicians a lesson. If DPP can't put the MP in the bars, he should leave office. If DPP can't deliver justice to Kenyans then amend the laws to justify shooting and killing is right. We are watching

Kemroids: Hii kwanza iko na evidence anafaa kuwa ndani kabisa

Samiol kitavi: DJ Evolve is not the one to determine if case can be withdrawn or not. It's state vs Babu.