Ruto, Karua, Joho waongoza orodha ya wanasiasa wenye ufuasi mkubwa Tiktok

Tiktok kwa muda mrefu imeulikana kuwa mtandao wa vijana, lakini pia wanasiasa wakubwa wamejiunga na mtandao huo.

Muhtasari

Orodha hiyo inaongozwa na wanasiasa Hassan Joho, Martha Karua, William Ruto na wengine

Wanasiasa wanaojivunia ukuaji wa haraka tiktok,
Wanasiasa wanaojivunia ukuaji wa haraka tiktok,
Image: Radio Jambo