Mfahamu rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu, anapoelekea kuapishwa

Tinubu ana umri wa miaka 70 na anatarajiwa kuapishwa Jumatatu hii Mei 29. Rais Ruto wa Kenya atawakilishwa na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi.