Mabadiliko ambayo Elon Musk amefanyia Twitter tangu kuinunua mwaka jana

Jumatatu, nembo ya ndege wa buluu ibadilishwa na kuwekwa nembo ya kichwa cha mbwa.

Muhtasari

• Moja ya marekebisho ambayo yamepata pingamizi ni kutaka watu kulipia ada ya kuhifadhi beji za buluu.

• Pendekezo hili limekuwa likipingwa vikali na watu ambao wamesimama tisti kuwa hawako tayari kulipia beji hizo.

Mabadiliko ambayo Musk amefanyia Twitter tangu kuinunua mwaka jana.
Mabadiliko ambayo Musk amefanyia Twitter tangu kuinunua mwaka jana.