Jinsi ya kuepuka shambulio la fisi

KWS iliwasisitizia Wakenya kutokimbia pindi wanapokutana na fisi na badala yake kusimama imara na ikiwezekana kuanza mazungumzo na wanyamapori hao.

Muhtasari

• Pia walishauri watu kukoma kutembea nyakati za usiku kwani fisi mara nyingi hufanya mawindo yao nyakati za giza.