Mfahamu kocha wa Kiptum, Gervais Hakizimama

Amefariki akiwa na umri wa miaka 36.

Muhtasari
  • Alikuwa mwanariadha kutoka Rwanda.
  • Alikuja Kenya mara ya kwanza 2006 akiwa mwanariadha.
Gervias Hakizimama: alifariki siku ya Jumapili, Februari 11, 2024.