Xabi Alonso ni nani? Kocha aliyehitaji siku 557 pekee kushinda taji la kwanza kama mkufunzi

Alonso, ambaye ni mchezaji wa zamani wa Liverpool, Real Madrid na Nayern Munich ni kocha wa kwanza kuisaidia Bayer Leverkusen kushinda Bundesliga yao ya kwanza tangu klabu hiyo izinduliwe miaka 119 iliyopita.