Bobi Wine afichua idadi ya watu walioaga dunia kutokana na maandamano ya Uganda

Muhtasari
  • Bobi Wine akataana na idadi ya watu walioaga dunia kutokana na maandamano nchini humo
  • Wine alisema kwamba zaidi ya wananchi 200 waliaga dunia kutkana na maandamano hayo na wala si 40 kama vile serikali ya Musebeni ilivyosema
aaaaaaaaaaaaa
Bobi Wine aaaaaaaaaaaaa

Mgombea uras wa chama cha NUP Uganda Bobi Wine amekataana na idadi ambayo ilipeanwa na serikali ya nchi hiyo ya watu walioaga dunia kutokana na maandamano nchini humo.

Serikali ya Uganda ilisema kwamba wananchi karibu 40 waliaga dunia kutokana na maandamano hayo baada ya Wine kukamatwa na polisi.

Huku akiwa kwenye mahijiano na runinga moja nchini humo alikuwa na haya ya kusema.

 

"Sikubaliani na idadi ambayo Museveni alipeana na hawezi ni laumu kwa hayo, alidanganya idadi ya watu abao waliaga dunia katika eneo la Kasese Massacre na maeneo mengine

Tunajua kuwa aidi ya watu 200 waliuawa, sisi wananchi wa Uganda hatutaki watoto wetu wauawe alafu kisha wafanyiwe fidia tunataka maisha yetu yawe kamili tufuate sheria tu." Aliaema Bobi Wine.

Mgombea urais huyo aliambia serikali ya museveni iwache kuwauwa wananchi ovyo huku wakisema kwamba wtafanyiwa fidia kwani hamna maisha inaweza fanyiwa fidia na pesa wala vitu vingine vyovyote.

Museveni alitangaza kwamba lazima kanuni za kuthibiti kusambaa kwa virusi vya corona sizingatiwe.