Tanzia

Mwakilishi wa kaunti ya Nakuru afariki Corona

Samwele Karanja alikuwa mwakilishi wa wadi ya London

Muhtasari

 

  •  Ni kiongozi wa pili kuaga dunia kwa ajili ya corona katika bunge hilo 
  •  Alikuwa akiwakilisha wadi ya London 

 

Samwel Karanja

Bunge la kaunti ya nakuru limekumbwa tena na msiba baada ya kuaga dunia kwa  mwakilishi  mwigine wa kaunti kwa ajili ya corona .

 Gavana wa kaunti hiyo Lee Kinyanjui  amethibitisha kifo cha mwakilishi wa wadi ya London Samwel Karanja siku ya alhamisi . Kifo cha Karanja kinmetokea wiki mbili tu baada ya mwakilishi  wa Hell’s Gate  John Njungna

 Katika  risala zake za  rambi  rambi  kwa familia ya Karanja  gavana huyo amesema bunge la kaunti sasa linaomboleza kifo cha mwakilishi wa tatu baada ya mwingine kuaga dunia mwaka jana .

 Gavana Lee amesema  mwakilishi huyo alikuwa na jukumu kubwa la kuwakilisha eneo lenye  jamii nyingi .

" Alikuwa mtu mkweli na mwenye bidii  .uwezo wake kusuluhisha matatizo utakoswa sana’ Gavana