Picha - Maraga astaafu

Muhtasari

  • Maraga alihudumu kama jaji mkuu kutoka mwaka 2016.

Hafla ya kumuaga Maraga kutoka idara ya mahakama ilifanyika nje ya makao makuu ya mahakama ya juu.

David Maraga akivuliwa magwanda ya kazi baada ya kustaafu
David Maraga akivuliwa magwanda ya kazi baada ya kustaafu