SABANZURI

Jinsi ya kujishindia shilingi millioni kumi na Sabanzuri

Wasikilizaji wanapaswa kutuma Ksh. 50 kwa paybill number 406 91 11, Nambari ya Akaunti ni "Nambari yao ya Simu" kwa nafasi ya kushinda au kupiga *513#.

Muhtasari
  • Sabanzuri Lotto inatafuta kuwazawadi Wakenya 2-3 ambao , na sio tu wasikilizaji wa Radio Jambo bali wale wanaocheza Sabanzuri lotto wakati wa dirisha la promosheni hewani.
  • Sabanzuri Lotto inasaidia katika miradi mbalimbali ya hisani nchini kote kuboresha maisha ya watu wengi, kuwasaidia maskini na wagonjwa.

Je, unaweza kufanya nini ukijishindia shillingi­­­ millioni kumi pesa taslimu? James Mwangi, ambaye ni mfanyi biashara wa matunda na mboga katika soko ya Kangemi anasema kushinda pesa kiasi hicho itaweza kutimiza ndoto zake.

“Nikibahatika na kujishindia hiyo pesa yote kwa Sabanzuri lotto, maisha yangu na familia yangu inaweza badilika milele, naweza pata pesa ya kueneza biashara yangu na nianze kujenga nyumba yangu kwa shamba niliyonunua miaka mingi iliyopita, “ James Mwangi anasema.

Sabanzuri Lotto inatafuta kuwazawadi Wakenya 2-3 ambao , na sio tu wasikilizaji wa Radio Jambo bali wale wanaocheza Sabanzuri lotto wakati wa dirisha la promosheni hewani.

Wasikilizaji wanapaswa kutuma Ksh. 50 kwa paybill number 406 91 11, Nambari ya Akaunti ni "Nambari yao ya Simu" kwa nafasi ya kushinda au kupiga *513#.

Watu 3 watajishindia shilingi elfu tano kila Jumatatu, Jumanne, Alhamisi na Ijumaa. Fedha hizo zitalipwa kwa namba zao za simu

Kutakuwa na washindi 2 waliohakikishiwa Jumatano ambao watapata Ksh50,000 kila mmoja.

Mbona ucheze lotto na Sabanzuri

  1. Kila siku Sabanzuri hufanya iwe rahisi, salama na ya kufurahisha zaidi kwako KUCHEZA NA KUSHINDA!
  2. Unaweza jishindia shilingi millioni kumi kwa kucheza Sabanzuri Lotto.
  3. Kuna dra inafanyika kila Jumatano na Jumamosi saa 8 jioni.
  4. Kadiri unavyocheza zaidi, ndivyo unavyozidisha nafasi zako za kushinda.
  5. Sabanzuri inaamini katika michezo ya kubahatisha inayowajibika. Watu walio chini ya umri wa miaka 18 hawajakubaliwa kucheza.
  6. Sabanzuri Limited ina leseni na BCLB chini ya nambari ya leseni: xxxxx.

Sabanzuri Lotto inasaidia katika miradi mbalimbali ya hisani nchini kote kuboresha maisha ya watu wengi, kuwasaidia maskini na wagonjwa.

Inawapa wachezaji fursa ya kushughulika katika kazi zao za hisani wakitengeneza pesa na pia kuburudika.