‘Idiot, lubbish, takataka,’ Akothee amfokea mzazi mwenzake

Staa wa kike nchini Akothee ametokwa na povu na kumpasha vijimaneno mzazi mwenzake. Muimbaji huyu ana watoto watano na baba tofauti.

Pata uhondo hapa:

Akothee alitokea katika mitandao ya kijamii na kutangaza kuwa alikuwa anasubiri amshaamsha za siku ya kina baba duniani zipoe halafu akadondosha maneno hatari kwa mmoja kati ya wazazi wenza.

Kwa utafsiri kwa haraka, inaonekana muimbaji huyu hayuko freshi sana na mmoja kati ya wanaume aliopata watoto nao.

"WAS WAITING FOR THE STREETS TO CALM.HAPPY FATHERS DAY IDIOT! MAY YOU CONTINUE BEING CRAZY MAD, ARROGANT AND UNAPOLOGETIC ALLY LUBBISH AND TAKATAKA ISORAIT. THE WORLD IS TOO FAKE TO TRY FIT INTO EVERYONE’S FAKENESS. THEY GOTTA LOVE YOU FOR YOU OR HATE YOU FOR TRYING BEING YOU. IF ALL HAPPENING IN HOMES COULD BE BROUGHT ON CAMERA NOW? YOU WILL REALIZE THAT THIS GOAT IS THE REAL DEAL." alifoka Akothee.

Soma hadithi nyingine :

Akothee anatamba na ngoma inayofanya vizuri katika mtandao wa youtube na inapata upigwaji mkubwa katika redio na runinga nchini ya Muje.

Itazama hapa: