‘It was an eye opener.’ Mwanamke asimulia kwa nini alipekejeng na mfanyakazi mwenzake

Kwa sasa bora tu mtu aitwe mke au mume wa mtu lakini desturi za ndoa kama zile za mababu zetu hazifuatwi kamwe na hata kufanya wengi kuangamia.

Wengi huwapenda wenzao kwa ajili ya pesa bali si mapenzi kama vile wapenzi wa kitambo walivyopendana kwa dhati.

Endapo pesa zitakwisha wengi uachana na kila mmoja kwenda njia zake.

Kupitia mtandao wa kijamii, mwanamke mmoja alifichua jinsi alianza kupekejeng na mfanyakazi mwenzake polepole hadi ikawa mazoea.

Alisema kuwa mume wake hakuwa anafanya kazi hiyo vyema ndio maana aliamua kwenda kwa mfanyakazi mwenzake.

“FROM THE DAY I MARRIED MY HUSBAND, I KNEW IT WAS A MISTAKE.

HE WAS ABUSIVE, CONTROLLING AND EXPECTED ME TO QUIT MY JOB TO MAKE A HOME FOR HIM.

 A LITTLE OVER A YEAR INTO THE MARRIAGE, ELIZABETH BEGAN HAVING AN AFFAIR WITH A COLLEAGUE.

IT WAS EYE-OPENING TO BE WITH SOMEONE WHO MADE ME FEEL GOOD ABOUT MYSELF, MADE ME LAUGH AND RESPECTED ME FOR WHO I WAS—NOT WHO HE WANTED ME TO BE.” Alisimulia.

Wengi hufanya mambo kama hayo ili kujifurahisha lakini wengine pia hufanya kulipiza kisasi kwa wapenzi wao.

“I CHEATED ON HIM—MOSTLY FOR REVENGE, BUT IN RETROSPECT IT WAS ALSO BECAUSE I WANTED VALIDATION.

I WANTED TO KNOW THAT I WAS STILL DESIRABLE TO OTHER MEN." Alizungumza Mwanamke.