Kazi safi! Angalia picha za kituo Kipya cha polisi kilichojjengwa na mbunge Mohammed Ali

Mbunge wa Nyali Mohammed Ali amezichapisha picha za kituo kipya cha polisi cha  Nyali kilichojengwa na pesa za mfuko wa hazina ya CDF ,anazosimamia . Moha Jicho Pevu kama anavyofahamika na wengi mitandaoni   amesifiwa sana na wafuasi wake katika twitter alipoonyesha kazi ambayo  ameifanya kama mwakili wa bunge wa eneo hilo .

Hata hivyo  Wakenya ni watu wa kipekee, kuna waliomtaka asijizolee sifa za ufanisi wa ujenzi wa kituo hicho wakidai pesa zilizotumiwa ni za umma . Mgala muue lakini haki yake mpe jamani ,hapa Moha amefanya kitu kisafi sana !

Tazama maoni ya baadhi ya waliozungumzia mradi huo twitter

https://twitter.com/MohaJichoPevu/status/1229778836277071872