machozi 1

Sijakufa!Hussein Machozi Alia baada ya kuibuka ripoti za ‘kifo’ chake

Msanii wa Tanzania  Hussein Machozi,  anayefahamika kwa kibao kizito  ‘Kwa Ajili Yako’  amewatahadharisha mashabiki wake dhidi ya kuamini uvumi unaozagaa kwamba ameaga dunia .

Mama’s Boy! Diamond Platnumz achora tattoo za jina la mamake katika mkono wake

machozi 2

Hii ni mara ya pili kwa msanii huyo anayeishi Ng’ambo ‘kuuawa’ na wanamitandao .

Ameamua kaundika ujumbe mtandaoni ili kuonyesha kwamba bado yupo hai kwa kusema ;

KAH JAMANI MBONA MNANIUA NAMNA HII??
HATA KAMA HAMNIPENDI SIO HIVI ASEE  NIKO SALAMA TENA NINA AFYA TELEEEEE
MSINIFANYIE HIVI JAMANI  KWANI NILIWAKOSEAGA NINI JAMANI??MNIAMBIE BASI NIWAOMBE MSAMAHA..MARA YA PILI SASA MNANIUA DAH

AMA MNATAKA NIDEDI KWELI???

Machozi  Alihamia nchini Italia pamoja na familia yake.

 

 

Mhariri; Davis Ojiambo

Photo Credits: Hisani

Read More:

Comments

comments