zari.000 (1)

”Mlinikereketa maini!” Zari ahudhuria mkutano kwenye Jeans baada ya kuibiwa na KQ

Kidosho amekereketwa maini sana na yaliyotokea hivi juzi na katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akaandika kuwa, anahudhuria mkutano alioupangia sana kama amevalia ‘Jeans’ baada ya kudai kuibiwa na wafanyikazi wa kampuni ya Kenya Airways.
IMG-20191015-WA0003
Zari alisema kuwa, alitumia zaidi ya elfu 244,000 kwa kusafiri kutoka Dubai kisha akafika na kupata bidhaa zake zimeibiwa.
  
Zari in white
“SO DISAPPOINTED IN KENYA AIRLINES. I’VE BEEN LOYAL, BUT YOU ALWAYS DO ME WRONG. THE OTHER TIMES I’VE IGNORED, BUT NOT TODAY. ALL THE PERFUMES I RECEIVED AS GIFTS FROM MY FRIENDS IN DUBAI JUST DISAPPEARED.”

Katika mtandao wa kijamii, Zari aliuliza anafaaa kuvaa nini anapoenda kwenye mkutano wake.

“What am I supposed to wear for my meeting?Aliuliza.

Familia ya Raila na Mjane wa Fidel wazozania mali ya Marahemu Fidel

Vilevile, alizidi kusema kuwa ni aibu kuwa safari za kampuni ya Kenya airways zimezoea kuchelewa na abiria huwa hawaambiwi pole wala kupewa sababu kamili ya kuchelewa.

Zari alimtumia mwakilishi ya Kenya airways ujumbe akidai virago vyake viregeshwe ili wakate uhusiano wao kwa uzuri.

“@OFFICIALKENYAAIRWAYS YOU HAVE MY RETURN DATE BETTER MAKE SURE SOMEONE FINDS ME IN THE LOUNGE AND RETURN WHAT BELONGS TO ME. I DIDN’T TRAVEL FOR FREE, YOU SET ME BACK $2440, NOW I WANT WHAT’S MINE BACK PERIODT! AND WE WILL END THIS RELATIONSHIP IN PEACE.”

Mashabiki nao walifunguka wazi wazi na kuorodhesha maoni yao kuhusu kampuni ya KQ

Mzee wa miaka 94, wake 19 na watoto 100 aoa tena, kunani ?

olybetsy: @zarithebosslady – Am proudly Kenyan but catch me dead on that plane. Our relationship ended in 2006!! I wonder what happened to the “Pride” of Africa

benzycruz: Sorry as Kenya Airways will form a commission of inquiry then the inquiry will inquire whether there were some rats or ants when the plane landed, maybe they will find there were some donkeys but after 3yrs of investigation. Sorry madam.. it’s Kenya Airways anyway.

neriajacky: I stopped using kenya airways ..it happened 2 me smtym bk.

mama_of___2: I will never forget how @officialkenyaairways brought so much pain to me. My then 7 months daughter depended on a certain porridge from Germany. We packed it for her and hipp baby food that would last us a month since we were visiting home in ug. My daughter only knew her food. The baby food was stolen 😳😳. We had to cut short our vacation because my daughter cried day and night since she couldn’t get the only food she knew. Never again shall we use @officialkenyaairways. KLM is now bae.

miss_dixons: @officialkenyaairways you zari an apology and return back her things or we minions are coming after you😮

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments