'Muda wangu ukikwisha jua nilitenda niwezalo,' Asema mwanahabari wa runinga ya K24 Eric Njoka

Uvumi habari unazo kuwa runinga ya K24 inaenda kuvuta baadhi ya wafanyakazi hivi karibuni na kwa hakika inaonekaana wafanya kazi hao wamo tayari kwa chochote.

Baada ya Betty Kyallo kuiaga runinga hiyo jumamosi, mei 30, mwanahabri Eric Njoka alisema yuko tayari kwa chochote kitakachotokea wakati huo.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii Njoka aliwashukuru mashabiki wake na kuwashauru hayuko sawa na haitaji maombi yao kwa maana hayafanyi kazi.

"Asanteni kwa wasiwasi wenu, si yuko sawa na kwa muda sitakuwa sawa, nitahakikisha nitatabasamu kila mara lakini msiniweke katika maaombi yenu kwa maana hayafanyi kazi." Alizungumza Njoka.

Kupitia kwenye mitandao hiyo hiyo Njoka alishtumu usimamizi wa mediamax kwa kupanga kuwavuta wafanyakazi wakati huu nchi inakabiliwa na janga la corona.

"…IT’S FRUSTRATING SO MANY PEOPLE. SOME HAVE MANY FAMILIES AND IF SOMEONE IS NOT GOING TO SPEAK FOR THEM THEN, WHERE I GO I WILL REGRET WHY I NEVER SPOKE FOR THEM. I DID SPEAK FOR THEM BECAUSE PEOPLE ARE REALLY SUFFERING AND THEY CAN’T SPEAK OUT."

Eric alizidi kunakili jumbe zake na alikuwa na haya ya kusema;

"WHEN MY TIME IS OUT, JUST KNOW I DID MY BEST, DILIGENTLY, WITH POISE, FAITH AND DETERMINATION. FEELS LIKE DEJAVÙ BUT IRIZ WAT IRIZ. #ANCHORMAN IS STILL MY NAME."