MUMIAS: Bunduki 6 zapatikana

By Cyrus Akhonya
Polisi mjini mumias wamepata bunduki sita zinazosemekana kuwa miongoni mwa saba zilizoibwa katika kituo cha polisi cha booker mjini mumias.
 
Mtu mmoja aliyekuwa akizilinda bunduki hizo katika shmba la miwa ya kampuni ya mumias ameuawa kwa kupigwa risasi huku mwenzaki akifanikiwa kutoroka.
 
 
Haya yanajiri siku nne tu baada ya polisi kupata bunduki moja katika eneo la mayoni na kuwakamata washukiwa wawili.
 
Kamanda wa polisi eneo la magharibi moses ombati anaongoza oparesheni hiyo mjini mumias.