Ndio hawa !Idadi ya wanaume ambao wamechovya Kisima cha Vera

NA NICKSON TOSI

Miongoni mwa wanaume ambao watu wengi walidhania kuwa labda angemuoa mwanasosholaiti Vera Sidika kutoka Kenya ni mwanamume Jimmy Chansa kutokea Tanzania.Wawili hao walikuwa wamechumbiana kwa miezi 7 na hatimaye Vera kudai kuwa kwa muda huo wote alikuwa anavumilia mengi kwa uhusiano huo.

Niliamua kutoka kwa uhusiano wangu kwa sababu siwezi kusalia katika uhusiano ambao ni hatari kwangu,Unaeza fikiria yale unadhani lakini mwisho wa siku ni mimi wa kufanya uamuzi wangu na nina uhuru wa kuchagua yale ambayo ni mazuri kwangu.Ukitaka kusema yale unadhamiria juu yangu sema kwa sababu watu katika mitandao ya kijamii hawakosi ya kusema juu yangu.aliandika Vera baada ya kuachana na Chansa.

Sponsor

Baada ya kiutangaza wazi kuwa amewachana na Jimmy Chansa kutoka Tanzania,Vera alishtua ulimwengu kwa kusema kuwa alikuwa mpenzi wa jamaa mmoja kwa muda na aliyekuwa ametalakiana na mkewe .

Vera alisema kuwa jamaa huyo alimnogesha kwa zawadi tofauti ikiwemo pesa za kujipodoa.

Kila Ijumaa ,kwa mwaka mmoja unusu ambao tulikuwa tunachumbiana,nilikuwa naenda kwa benki kuweka hela kwenye akaunti yangu alizokuwa ananipatia.alisema Vera kuhusiana na Sponsor huyo

Yommy Johnson

Jamaa huyo kutoka Nigeria alichovya kisima cha Vera kwa muda kabla ya kuachana kwao.Vera alimtaja kama mtu aliyekuwa anapenda vurugu na kuchangia kuachana kwao.

Kudhibitisha hayo Vera alituma  ujumbe ufuatao kwa mtandao wake wa Instagram.

Yommy aidha alimkashifu Vera kwa kuavya uja wake wakati walipokuwa kwa uhusiano.

Otile Brown

Baada ya kuachana na Yommy ,Vera aliamua kuchumbiana na mwanamziki Otile Brown kutoka Kenya,Uhusiano ambao wengi wa wafuasi wa Vera walimkashifu wakidai Otile si mume wa Kiwango chake.

Uhusiano huo ulidumu kwa miezi 6 ,baada ye cheche za maneno zikaanza huku Vera akimkashifu Otile kuwa mwanamume wa kuombo omba pesa.

Otile upande wake alimkashifu Vera kwa kuavya mimba yake.

.black American man

Baada ya kuachana rasmi na Otile ,Vera alifunganya na kuanza uhusiano mwengine na jamaa wa Amerika mwenye asili ya kiafrika na anayeishi Las Vegas Amerika.

Katika uhusiano huo,Vera alisema kuwa walikuwa wanapania kupata mtoto.

BAE wangu anataka tupate mtoto ,kweli nimekubaliana naye ,nimetamani sana kukua na mwanangu kabla nitimie miaka 30.aliandakia Vera

Miezi michac he baadaye,Vera aliibuka na mswanamume mwengine,raundi hii alikuwa ameshikwa kiuno chake na jamaa huyo.

Katika picha hiyo aliyokuwa ameiweka katika mitandao ya kijamii ,ni rasmi kuwa alikuwa amewachana na yule mwengine .

Dr Badmus Tommy Daniel

Kwasasa ,Vera ametulia kwa mahaba na jamaa mwengine kwa jina Tommy Daniel mwenye kutoka taifa la Nigeria.

Ni baadhi ya jamaa ambao wameisoma katiba ya Vera Sidika