Ndoa tano zenye wapenzi wenye ushawishi mkubwa duniani

Kuanzia fani ya burudani  ,siasa  na sarakasi zote  zinazoambatana na umaarufu wao ,Jarida la Forbes  limetoa orodha ya wa wapenzi wenye  ushawishi mkubwa  duniani .

ni hawa wafuatao

Barack Obama na  Michelle Obama

wamekuwa wakiwavutia wengu duniai . kura ya maoni hivi maajuzi imegundua kwamba MichelleObama ana asilimia 67 ya watu wenye maoni mazuri kumhusu  ,hatua inayomfanya kuwa maarufu zaidi kumliko mumewe.

Melinda Gates na  Bill Gates

Bill Gates  ndiye mtu tajiri sana nchini Mareekani  akiwa na mali yenye thamani ya jumla ya    dola bilioni  $67 (Ksh6,790,952,500,000).

pia ni wanakarimu sana   baada ya kupeana  dola bilioni   $3.4 (Ksh 344,615,500,000) kwa uhisani

Jay-Z  na Beyonce

wapenzi haoa wa kwanza katika muziki  ni washirika wa karibu wa Familia ya Obama  nchini marekani .

Queen B  na mume wake Jay Z  wana mali ya pamoja ya jumla ya bilioni  $1 kutoka kampuni zao za mavazi

Jay Z  hivi maajuzi ametangazwa kuwa rapa wa kwanza kuwa bilionea .

Hillary Clinton na  Bill Clinton

Wamekuwa katika utumishi wa umma  kwa miaka mingi  lakini wameendelea kusalia   kileleni .

David Beckham  na Victoria Beckham

kwa pamoja wawili hawa wameacha athari  kubwa  katika ulimwengu wa mitindo  na haijastajaabisha kwamba wanao pia wanafuata nyayo za wazazi wao.