PATANISHO: Annette Amsamehe Wycliffe Mwenye Tabia Ya kubugia Chang'aa

patanisho
patanisho
Bwana Wycliffe alikuwa na bahati ya mtende baada ya mkewe, Bi Annette kumsamehe baada ya wawili hao kukosana miezi mitatu iliyopita.

Ilikuwa ni furaha mpwito mpwito kwa bawabu huyo ambaye aliyekuwa na tabia za kubugia chang'aa na kumpiga mkewe, kupatanishwa jambo ambalo halikuwa kwenye ndoto zake.

Hata hivyo, Annette alikiri kuwa ahitaji mwezi mmoja ili ajipange kusafiri nyumbani lakini akamwomba Wycliffe atie juhudi na alipe mahari.

Pata uhondo kwenye kanda ifuatayo.

&feature=youtu.be