PATANISHO: Shemeji yangu anahisi kuwa nakalia ndugu yake

Maureen alituma ujumbe akiomba apatanishwe na shemeji yake.

"Nilipatana na kijana mwingine nikiwa third year university student back in 2016. That was my first relationship na nilipojuana naye hakuwa amesoma sana na alidai kuwa amefika form four na alikuwa amepata job Dubai.

Nilimpenda kwa ajili my previous relationship alikuwa anapenda madem sana na hakuwa ana apologize akinikosea." Sasa nikamwambia nitampenda despite yeye kutokuwa amesoma vile." Alisimulia Maureen.

Sasa with time akanipeleka kwao akani introduce kwa sister yake. Sister yake akarudi nyumbani akidai kuwa nimesoma sana na nam direct mtoto wao na kuwa haoni kama tutawezana. Isitoshe akasema huyu msichana ana dress vibaya short dresses, na ni ukweli kwani nilikuwa na model that time." Aliongeza Maureen ambaye wamekuwa kwa ndoa ya miaka mitatu.

Hata hivyo Maureen hakutaka kuzungumza na shemeji yake lakini aliomba apewe ushauri kutoka kwa watangazaji hao wawili kwani roho yake haikutaka.

&feature=youtu.be