Patanisho: Wewe unakaa mkia wa umbwa unafuata huku huku Bi Carol alipuka

patanisho
patanisho
Mwenye kuomba patanisho alikosana na mke hata imepelekea yeye kulazwa hospitali na Ulcers.

Geoffrey Sang alituma SMS akisema walikosana three weeks ago 'na sijui pahali alipo'.

SMS yake ya huzuni ilisema

'Nimeteseka sana hadi niko hospitali hadi ulcers kupanda pressure.

Doh. Bwana Sang  aliweza kuchukua simu ya Gidi, huku akisema 'badi niko hospitali' .

Kwa ufupi iko company huwa hatakangi tukae nao. my colleagues, so hiyo kukasirika kwake huwa inampea hasira.

Na hiyo company ni watu aina gani?

Ni wanaume, alieleza Geoffrey yani anona kama hawa wanaume tunaenda labda tunakunywa ama kwa wanawake vitu kama hizo. Eh so hatakangi So akisikia niko na hao 

Na ni kweli hao marafiki humpeleka kwa pombe na wanawake?

No, not like that 

Je anakunywa pombe?

Niliwacha Nilikuwa nakunywa sometimes back three years ago 

Amejaribu kumkalisha chini kumwambia hao macollegaues ni watu wangwana na hawana shida?

Yeye unajua wakati alisikia mahali nilikuwa tulikuwa na huyo, so wakati nilitoka pande hiyo pia huyo akapigwa transfer mahali niko tena karibu o wakati nilikosana na huyo pia bibi ya huyo hatakangi tukuwe pamoja, wanaona kama iko kitu inaendelea. 

Na tangu mke wake aende alisema hachukuwi simu?

Hashikii lakini niki SMS anareply. Niki muuliza ako wapi hataki kuniambia. Ananiambia wee endelea na mambo yako usiniulize mahali niko. So kitu kama hiyo ni uchngu sana unashindwa mtu ako wapi hujui akowapi 

Wamekaa kwa uhusiano miaka ngapi?

4 years 

Wana watoto?

Wawili alijibu kwa ufupi.

Je madai ya mke wake Bi carol ni yapi?

Ni kweli, anarafiki mwingine hapo tuu huwa nazurura na yeey, na bibi ya huyo analalmika ananiambia bwana awachane na wangu. Sasa yule analalmika maanake yule bwana anavituko mingi tuu.Bibi akienda nyumbani ndio huyo ameleta wanawake Sasa huyo na yeye wakitembea pamoja si unajua mwizi akitembea na mwizi mwingine Sasa unaimagine mtu ankuaj kumtafuta saa mbili asubuhi wanende wakunywe pombe hiyo ndio maneno ingine yenye sipendi. 

Lakini Bwanake Sang naye tabia zake ni sawa isipokua kutembea na huyu jamaa?

Vitu zingine siwezi sema iyo ni siri yangu lakini tuu yule mtu yule mtu ndio mimi sitaki watembee pamoja. 

Bwana Sang alisikia vile Bibi yake alisema na akaomba msamaha.

Skiza kanda kama amepatia Sang msamaha na kurejesha uhusiano: