(PICHA) Taarifa za mazishi ya Bob, msafara wa magari kutoka hifadhi ya wafu ya Lee

Msafara wa magari kutoka hifadhi ya wafu ya Lee umeanza kudondoka ile kumpa heshima zake za mwisho Bob Collymore.

Familia ya Bob imeomba usiri kutoka kwa vyombo vya habari ili waweze kufanya itikadi zao  kuendesha mazishi. Mwili wa Collymore unatarajiwa kuchomwa sehemu ya Kariokor.

Soma hapa hadithi nyingine:

Siku 2 kabla afariki, marafiki wake Jeff Koinange kati ya wengine walifika katika maskani yake kumjulia hali.

"Kama desturi tabasamu lake tulilipata tukiingia mlangoni. Alikuwa anaumwa zaidi..." alisimulia Jeff.

“I’VE LIVED A GREAT LIFE, GENTS,” HE SAID, “I’VE MADE MISTAKES BUT I RECTIFIED THEM. THAT’S WHAT YOU GUYS HAVE TO DO. RECTIFY YOUR MISTAKES OTHERWISE, YOU WILL HAVE LEARNT NOTHING FROM LIFE.” HE TALKED SOME MORE, “THANKS FOR BEING THERE FOR ME. YOU GUYS ARE MY REAL FRIENDS,”  Jeff alisimulia maneno ya mwisho ya Collymore.

Soma hapa hadithi nyingine:

Tazama picha za msafara wa magari: