Tazama Mbusii na mchekeshaji Kartelo katika ubora wao

Kartelo
Kartelo
Mtangazaji Mbusii anayepeperusha kipindi cha Mbusi Na Lion TekeTeke alikutana na mcheshi Kartelo wikendi hii iliyopita. Msanii yeyote atakuwa na vimaneno vya kawaida atakavyochombeza katika kazi ya sanaa ili ionekane nadhifu na ya kutia fora. Maneno kama haya wakati mwingine hutumika kuwavutia mashabiki wao.

Soma hapa pia:

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/Bysl-JcBalM/

Katika kipande kidogo cha video, Mbusii anafunza Kartelo jinsi anavyojitambua katika ukali wa kudondosha maneno. Kartelo ambaye ni mcheshi chipukizi anamwonyesha makali yake.

Soma hadithi nyingine:

Kartelo ni kati ya wacheshi ambao wamepata mgao wa hela ili kuhamasisha mashabiki kuhusu tamasha la Jah Cure litakalofanyika hapa nchini tarehe 6  mwezi ujao.