Tazama picha za mkewe Ben Kitili baada ya kupunguza uzito

Mkewe mtangazaji wa runinga ya KTN Ben Kitili aliamua kukata uzani na juhudi zake kuafikia lengo zimewacha wengi vinywa wazi.

Amina Mude ambaye ni mama ya watoto wawili alifanya bidii na kupoteza jumla ya kilo 36 katika muda wa chini ya mwaka mmoja.

Tazama picha zake akiwa alivokuwa kabla na baada ya kupunuza uzani.

Amina alikuwa na uzani wa kilo 110 baada ya kujifungua mwanawe wa pili.

Soma habari zaidi;

Soma habari zaidi;

Kama Amina alifaulu kupunguza kilo 36 chini ya mwaka mmoja basi wewe pia unaweza.