Una wazimu wewe?,sasa Erick Omondi atakutosheleza vile unavyotaka!

NA NICKSON TOSI

Mwanamziki Akothee amewaacha mashabiki wake vinywa wazi baada ya video kuchipuka mitandaoni akimsugua Erick Omondi katika eneo nyeti wakiwa na Vera Sidika katika mkahawa fulani.

Akothee alituma video hiyo kisha akaandika ujumbe wa kumtakia Eric Omondi heri njema siku ya kuzaliwa.

Katika ujumbe wake, Akothee alisema kuwa Omondi ndiye tatizo la kukosa mpenzi na hivyo kumtaka amchukuwe awe mpenziwe.

“BABY THAT OUR VIDEO MADE MR X TO DUMP ME 🏃‍♂️🏃‍♂️NOW YOU MUST COLLECT ME 🙏🏾

Kuna baadhi ya watu ambao huwezi kuwasaidia bali kuwapenda, nilikupenda ile siku nilikujua kupitia mitandao ya kijamii, wewe ni mmoja wa johari katika fani hii, Jaluo wa pekee ninaye mjua mwenye bidii zaidi, nilidhani nina nguvu, lakini ari yako kufaulu ni ya kipekee 🙏🏾, baadhi ya wanaume rika yako bado wamewekwa na wanawake wanaogharamia mahitaji yao, lakini wewe jione sasa, sifa hizo zote, mcheshi wa kimataifa. Wanipa nguvu mpenzi wangu ❤❤  jua tu kwamba ile video yetu , ilifanya Mr X kuniacha, sasa lazima uniokote,

I ESTHER AKOTH OMONDI. LOVES YOU TO THE MOON AND BACK. HAPPY BIRTHDAY RWATH . Erick marwa❤❤❤❤❤❤❤❤❤” Aliandika Akothee.

Kwa upande wake Omondi alijibu ujumbe huom kwa kusema.

 “Esther Akoth Omondi, My baby, My BabyMama to be❤❤🥰🥰❤ My love, CHOTNA, Osiep chunya. My sweet dark chocolate ”

Alex Mwakideu complanied that “ Esther Akoth Pmpndi, My baby, My Baby Mama To Be, My love, Chotna, Osiep, Chunya... I was celebrating my Birthday the other day... I did not get such a lovely message from you... 😂🤣😂🤣”_aliandika Omondi.

Ujumbe ulioibua hisia kutoka kwa wafwasi.

 “Watu amkeni president of single mothers wants to marry the president of comedy... Iyo nyumba itakalika kweli.... Akothee wee pimo wiwa... Wachia Miss Chanty, modong' go to waki,,, wapidho Mana zahari”